USHIRIKIANO TANZANIA, SWEDEN WAJADILIWA


 KATIBU Mkuu, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dkt. Samwel Shelukindo amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Sweden nchini, Charlotta Ozaki katika ofisi ndogo za Wizara hiyo  jijini Dar es Salaam 11 Mei, 2026.

Mazungumzo hayo yalilenga kujadili namna ya kuimarisha ushirikiano na kukuza diplomasia ya uchumi katika sekta mbalimbali ikiwemo biashara, usafiri, uwekezaji, elimu na nishati.

Comments

Popular posts from this blog

CCM YAISHUKURU SMZ, WAKAZI KIKWAJUNI

CCM YAONYA WATEULE MIUNDOMBINU ZANZIBAR

TRA YATAKIWA IJIPANGE DIRA MAENDELEO YA TAIFA