RAIS DKT. MWINYI APOKEA RIPOTI TUME YA TATHMINI FIDIA WANAOPISHA MIRADI YA MAENDELEO ZANZIBAR
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi, amepokea Ripoti ya Tume ya Tathmini ya Masuala ya Fidia kwa Wananchi waliopisha Miradi ya Maendeleo, ulioongozwa na Mwenyekiti wa Tume hiyo, Ndg. Salim Othman Simba, Ikulu Zanzibar, leo 08 Mei 2026.
_Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi, akiwa katika picha ya pamoja na ujumbe wa Tume ya Tathmini ya Masuala ya Fidia kwa Wananchi waliopisha Miradi ya Maendeleo.*_



Comments
Post a Comment