RAIS DKT. MWINYI, WILLIAM RUTO WAKUTANA DHIFA YA KITAIFA, IKULU DAR
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi ameshiriki katika dhifa maalum ya chakula iliyoandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan kwa heshima ya Rais wa Jamhuri ya Kenya, Mhe. William Ruto katika Ikulu ya Magogoni, Dar es Salaam leo tarehe 04 Mei 2026.
Rais William Ruto yupo nchini kwa ziara maalum ya siku mbili kuanzia tarehe 04 hadi 05 Mei 2026, ambapo pamoja na shughuli nyingine, anatarajiwa kulihutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hapo kesho, tarehe 05 Mei 2026, Jijini Dodoma.
1.





Comments
Post a Comment