MWANAHABARI EDITHA KARLO AZIKWA KIJIJINI KWAO MNYEGERA, BUHIGWE
MWILI wa Mwanahabari Mwandamizi, Editha Karlo umezikwa, Kijijini kwao, Mnyegera Wilaya ya Buhigwe, mkoani Kigoma.
Kabla ya maziko mwili wa Editha ambaye pia alikuwa mwanachama wa Kigoma Pressa Club, aliagwa nyumbani kwao Kasulu na wanahabari wenzake, ndugu, jamaa, marafiki na wadau mbalimbali wa habari.



Comments
Post a Comment