CARITAS- TANZANIA YAHITIMISHA MAFUNZO USIMAMIZI HATARI ZA MAAFA


SHIRIKA la Misaada la Kanisa Katoliki (CARITAS-Tanzania) leo 19 Mei 2026, limehitimisha mafunzo kwa Wakurugenzi na Wataribu wa Maafa wa CARITAS kutoka majimbo mbalimbali nchini yaliyofanyika katika Ukumbi wa Baraza la Maaskofu Katoliki (TÈC), Kurasini Dar es Salaam, kuhusiana na Usimamizi wa Hatari za Maafa na Namna ya Kupunguza athari zake.


Mafunzo hayo ambayo yameratibiwa na Ofisi ya CARITAS - Taifa  na yalifunguliwa rasmi na Kaimu Katibu Mkuu Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) Padri Alister Makubi.

Mwezeshaji Mkuu  katika mafunzo hayo ni Mtaalam wa Maafa kutoka Chuo Kikuu cha Dodoma, Dkt. Japhet Ringo



Comments

Popular posts from this blog

CCM YAISHUKURU SMZ, WAKAZI KIKWAJUNI

CCM YAONYA WATEULE MIUNDOMBINU ZANZIBAR

TRA YATAKIWA IJIPANGE DIRA MAENDELEO YA TAIFA