BAJETI WIZARA YA AFYA YAWASILISHWA BARAZA KUU LA WATUMISHI


MKURUGENZI wa Idara ya Sera na Mipango, Amour  Amour akiwasilisha makadilio ya bajeti ya mwaka mpya wa fedha 2026/27, pamoja na matumizi ya fedha za bajeti za mwaka wa fedha 2025/26 mbele ya wajumbe wa Baraza la wafanyakazi wa wizara ya afya, Mei 3, 2026, jijini Mwanza.


Mganga Mkuu wa Serikali Dkt. Grace Magembe akijibu Hoja mbalimbali na kutoa ufafanuzi wa ajenda ya Bima ya Afya kwa Wote, Huduma za Tiba Asili, kusomana kwa mifumo pamoja na suala ya ufadhili wa masomo katika Kikao cha Baraza Kuu la Wafanyakazi wa Wizara ya Afya kinachoendelea jijini Mwanza, leo 03 Mei 2026.


Wajumbe wa Baraza Kuu la Watumishi wa Wizara ya Afya wakifuatilia mawasilisho mbalimbali katika kikao cha Baraza Hilo leo Mei 3, 2026 , kinachofanyika jijini Mwanza

Comments

Popular posts from this blog

CCM YAISHUKURU SMZ, WAKAZI KIKWAJUNI

CCM YAONYA WATEULE MIUNDOMBINU ZANZIBAR

TRA YATAKIWA IJIPANGE DIRA MAENDELEO YA TAIFA