RIP MWANAHABARI EDITHA CARLO
Usiku mbaya kutokana na tasnia ya habari kumpoteza Mwandishi Editha Carlo aliyekuwa akiripoti kutokea Kigoma. Pumzika rafiki, pumzika mdogo wetu, Poleni sana Kigoma, Mungu awatie nguvu wanafamilia. Mwangwi wa sauti yako ungalipo masikioni mwangu, "Zablon, utakuja lini Kigoma? Njoo kuna stori nyingi sana" mara ya mwisho miaka kadhaa iliyopita Mtaa wa Samora nikiwa katika 'Kipanya' cha wanahabaŕi wa Mwananchi Communicationa Ltd (MCL), tukirejea Tabata kutoka Idara ya Habari (MAELEZO).

Comments
Post a Comment