RAIS DKT. MWINYI AKUTANA NA ECO BENKI TOGO, IKULU ZANZIBAR


 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amekutana na uongozi wa Ecobank ukiongozwa na Bw. Michael Larbie kutoka Togo, akifuatana na Ndugu Charles Asiedu wa Ecobank Tanzania, leo Aprili 15, 2026, Ikulu Zanzibar

1.


2.


3.

_Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,! Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akiwa katika picha ya pamoja na uongozi wa Ecobank kutoka Nchini Togo, baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika leo Aprili 15, 2026, Ikulu Zanzibar._

Comments

Popular posts from this blog

CCM YAISHUKURU SMZ, WAKAZI KIKWAJUNI

CCM YAONYA WATEULE MIUNDOMBINU ZANZIBAR

TRA YATAKIWA IJIPANGE DIRA MAENDELEO YA TAIFA