MAANDALIZI RUAHA GREAT MARATHON YAPAMBAMOTO
Maandalizi ya Great Ruaha Marathon yanazidi kupamba moto kwa wanariadha na washiriki wa michezo mingine kuzidi kujitokeza
Wadau wanaalikwa, Ibuguziwa - ndani ya Hifadhi ya Taifa Ruaha Julai 04, 2026 katika mbio za kilometa 5, 10 na 21.
Mbio hizo zitajumuisha pia mashindano ya baiskeli na utalii wa kuangalia wanyamapori.
Pia utalii pendwa wa kuvua samaki uitwao *“Vua achia”* (catch and release) almaarufu (sport fishing).





Comments
Post a Comment