JENERALI WAITARA AONGOZA KIKAO BODI WADHAMINI TANAPA


 WAJUMBE wa Bodi ya Wadhamini ya Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) wakiongozwa na Mwenyekiti wa Bodi hiyo Jenerali George Marwa Waitara (Mkuu wa Majeshi Mstaafu) wamekutana leo Aprili 27, 2026 Jijini Dodoma.


_Mwenyekiti wa Bodi hiyo Mkuu wa Majeshi Mstaafu, Jenerali George Marwa Waitara._

 Mkutano huo ni kwa ajili ya kuanza kikao maalum cha 107 cha Bodi hiyo ambapo wameanza na Kikao cha Kamati ya Utalii na Huduma za Shirika chini ya Mwenyekiti wa Kamati hiyo  Athuman Mahmoud Kwariko.

1.

_Bodi ikiwa na Kikao cha Kamati ya Utalii na Huduma za Shirika chini ya Mwenyekiti wa Kamati hiyo  Athuman Mahmoud Kwariko._



2.


_Mwenyekiti wa Kamati hiyo Athuman Mahmoud Kwariko._

3.


4.

_Wajumbe wakifuatilia uwasilishwaji_

5.



Comments

Popular posts from this blog

CCM YAISHUKURU SMZ, WAKAZI KIKWAJUNI

CCM YAONYA WATEULE MIUNDOMBINU ZANZIBAR

TRA YATAKIWA IJIPANGE DIRA MAENDELEO YA TAIFA