DKT.MWINYI ASHIRIKI KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM TAIFA
MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi ameshiriki Kikao cha siku mbili cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kilichokutana Jijini Dar es Salaam na kukamilika leo Jumatano tarehe 29 Aprili, 2026.
Kikao hicho kimeongozwa na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan .



Comments
Post a Comment