DKT. NCHIMBI AITEMBELEA FAMILIA YA HAYATI LUKUVI


 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi ameitembelea na kuifariji familia ya aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu, Marehemu William Vangimembe Lukuvi, katika mkazi yao Mbezi Beach Jijini Dar es Salaam, leo tarehe 16 Aprili 2026. Wakati wa Msiba na Mazishi ya Kiongozi huyo, Makamu wa Rais alikuwa nje ya nchi kwa ziara ya kikazi. (Picha Zote na Ofisi ya Makamu wa Rais).

1.


2.


3.



Comments

Popular posts from this blog

CCM YAISHUKURU SMZ, WAKAZI KIKWAJUNI

CCM YAONYA WATEULE MIUNDOMBINU ZANZIBAR

TRA YATAKIWA IJIPANGE DIRA MAENDELEO YA TAIFA