DKT. MAGEMBE AONGOZA MATEMBEZI KUHAMASISHA KOFIA NGUMU


 Viongozi mbalimbali, wataalam wa afya pamoja na madereva wa pikipiki (bodaboda) wameshiriki kwenye matembezi ya mshikamano yenye lengo la kutoa elimu na kuhamasisha umuhimu wa kuvaa Kofia ngumu (helmet) kwa ajili ya kujikinga pindi ajali itokeapo kwa madereva Boda boda

1.

Matembezi hayo yamefanyika leo, Aprili 12, 2026, yakianzia katika Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS), yakiambatana na mazoezi ya viungo. 

2.

Tukio hilo ni sehemu ya maandalizi kuelekea Mkutano wa Pili wa Kimataifa wa Shirikisho la Jumuiya ya Madaktari wa Upasuaji wa Ubongo, Mgongo na Mishipa ya Fahamu.

3.


4.


5.


6.



Comments