WAZIRI KAIRUKI AHITIMISHA KIKAO KAZI DODOMA


 Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Angellah Jasmine Mbelwa Kairuki (Mb.), katika picha ya pamoja na baadhi ya Viongozi wa Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC) katika ofisi za wizara zilizopo Mji wa Serikali Mtumba, Dodoma, baada ya Kikao Kazi kati ya Wizara, Taasisi na Bodi zilizo chini ya Wizara, kilicholenga kujadili masuala ya kisekta (Think Tank), kilichofanyika 27 Februari 2026 Jijini Dodoma. 

Bodi na Menejimenti ya PDPC iliyoongozwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Balozi Adadi Rajabu walishiriki kikamilifu kwenye Kikao hicho.



Comments

Popular posts from this blog

CCM YAISHUKURU SMZ, WAKAZI KIKWAJUNI

CCM YAONYA WATEULE MIUNDOMBINU ZANZIBAR

TRA YATAKIWA IJIPANGE DIRA MAENDELEO YA TAIFA