RAIS DKT. MWINYI AJUMUIKA NA JAMII EID AL FITR, IKULU ZANZIBAR
Nimefarijika kutoa Mkono wa Eid kwa mamia ya watoto, wajane na wananchi wenye mahitaji maalum, ikiwa ni sehemu ya utamaduni wetu wa kuonesha upendo, mshikamano na kujali wenzetu.
Nawatakia Waislamu wote Eid njema yenye baraka, furaha na amani. 🌙




Comments
Post a Comment