DKT. MWINYI AFANYA MAZUNGUMZO NA MAKAMPUNI YA CHINA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, leo  26 Machi amefanya mazungumzo na uongozi wa kampuni ya Liaoning Fangda Group of Companies ya China.

Ujumbe huo wa China katika mazungumzo hayo yaliyofanyika ukumbi wa mikutano Ikulu, yaliongozwa na Mwenyekiti wake, Bw. Ao Xinhua.



Comments

Popular posts from this blog

CCM YAISHUKURU SMZ, WAKAZI KIKWAJUNI

CCM YAONYA WATEULE MIUNDOMBINU ZANZIBAR

TRA YATAKIWA IJIPANGE DIRA MAENDELEO YA TAIFA