DKT. MWINYI AONGOZA KAMATI MAALUM YA CCM ZANZIBAR
Makamu Mwenyekiti CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt.Hussein Ali Mwinyi ameongoza Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa NEC, kilichofanyika katika Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui, Zanzibar 18 Januari 2026.
Wajumbe wakimkaribisha Makamu Mwenyekiti CCM, Dkt. Hussein Ali Mwinyi
Naibu Katibu Mkuu CCM Zanzibar, Dkt. Mohammed Said Mohammed akitoa maelekezo kabla ya kikao kuanza.
Waziri wa mstaafu katika Wizara tofauti katika Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Maua Daftari (mwenye ushungi wa njano) ni mmoja kati ya wamumbe wa mkutano huo.




Comments
Post a Comment