MWI.I WA JENISTA MHAGAMA WAWASI.I RUVUMA
MWILI WA JENISTA MHAGAMA WAWASILI RUVUMA
Na Mwandishi Wetu, Songea
MWILI wa aliyekuwa Mbunge wa Peramiho, umewasili Mjini Songea Mkoani Ruvuma leo 14 Desemba 2025 na kupokewa na waomboleza wakiongozwa na viongozi mbalimbali wa serikali mkoani humo.
Mwili huo mara baada ya kuwasili ulipelekwa nyumbani kwake Mjini humo na unatarajiwa kuzikwa 16 Desemba 2025, Kijiji cha Ruanda, Mbinga mkoani Ruvuma.

Comments
Post a Comment