MAMIA WAMUAGA JENISTA MHAGAMA PAROKIANI PERAMIHO, RUVUMA
MAMIA WAMUAGA JENISTA MHAGAMA PAROKIANI PERAMIHO, RUVUMA
Na Mwandishi Wetu, Ruvuma
MWILI wa aliyekuwa Mbunge wa Peramiho, umeagwa leo 15 Desemba 2025 katika Kanisa Katoliki la Mt. Benedict, Abasia ya Peramiho Jimbo Kuu, Songea.
Ibada hiyo ambayo ilihudhuriwa na viongozi mbalimbali wa vyama vya siasa na serikali, Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba alisema baada ya Ibada ya kuaga alisema serikali itajitahidi watoto wa marehemu waweze kufikia ndoto zao kitaaluma.
Mbunge huyo, anatarajiwa kuzikwa kesho 16 Desemba 2025, Kijiji cha Ruanda, wilaya ya Mbinga, mkoani Ruvuma.

Comments
Post a Comment