Selfie na mkuu

 


Mgombea wa nafasi ya Urais Zanzibar kwa tiketi ya CCM ambaye pia Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi na timu yake wakipiga picha na mfanyabiashara, Suleiman Haji Makame alipotembelea sokoni hapo na kuzungumza na wafanyabiashara wadogo wadogo wa soko la Chakechake, Mkoa wa Kusini Pemba, leo tarehe 24 Septemba 2025. 

Rais Dkt. Mwinyi amewasili leo Pemba kuendelea na mikutano ya kampeni ya CCM.

Comments

Popular posts from this blog

CCM YAISHUKURU SMZ, WAKAZI KIKWAJUNI

CCM YAONYA WATEULE MIUNDOMBINU ZANZIBAR

TRA YATAKIWA IJIPANGE DIRA MAENDELEO YA TAIFA